Karibu Turning point

Turning Point ni mradi wa kutokomeza umaskini wenye awamu tatu, unaolenga mabadiliko yanayoonekana ya maisha ya wengi wa watu wasio na fursa mijini na vijijini.

Kwa kuungana na wana maendeleo wenzetu wa kitaifa na kimataifa, mradi wa THIG wa Turning Point unalenga hasa kwenye kuleta huduma bora za kiafaya karibu zaidi na watoto pamoja na familia zisizo na fursa hizo, kurekebisha makazi, kutengeneza ajira, kukuza nishati rafiki kwa mazingira na utunzanji wake, kuboresha usafi, usimamiaji taka, utafiti na upatikanaji rahisi wa taarifa.

Jamii za Turning Point

Turning Point kwa sasa imejielekeza hasa kwenye kuboresha ustawi na kutengeneza fursa na wasaa kwenye jamii zifuatazo.

Uganda

Tanzania

Angola

Maeneo Lengwa

Quality-Healthcare

Huduma bora za afya

Community-Infrastructure

Miundombinu kwenye jamii

_better-homes

Makazi bora

Environmental-Conservation

Utunzaji mazingira

job-creation

Utengenezaji ajira

Sanitation-Waste-Management

Usimamizi wa usafi na taka

Eco-friendly-Energy

Nishati rafiki kwa mazingira

_informaton-access

Upatikanaji Taarifa

Je, unatamani madiliko kwenye jamii yako?

Jiunge na Turning Point leo.

Msaada? Ongea Nasi