Turning Point
Mabadiliko ya 360° ya mamilioni ya vijana Afrika.
i-Hub
Kutengeneza ajira na fursa endelevu za kibiashara kwa mamilioni ya watu Afrika.
Sarafu
Kuwezesha mfumo rahisi wa kifedha kwa jamii za Kiafrika.

Mabadiliko ya 360°

Transformation Hub Investment Group (THIG) ni kampuni iliyojikita kwenye uvumbuzi rahisi na yenye uchu wa maboresho ya vipato vya mamilioni ya watu wasio na fursa, wanaoishi katika jamii za nchi zinazoendelea kote barani Africa.

 

Kupitia miradi yetu ya kijamii (Turning Point, i-Hub na Sarafu), tunayalea maendeleo ya kudumu kwa kusudi la kupunguza umaskini, njaa na kutowiana kwa vipato katika nchi za Afrika zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara.

Jamii za Turning Point

Turning Point kwa sasa imejielekeza hasa kwenye kuboresha ustawi na kutengeneza fursa na wasaa kwenye jamii zifuatazo.

Uganda

Tanzania

Angola

Je, una ndoto na uchu wa kubadilisha maisha ya watu?

Msaada? Ongea Nasi